July 21, 2013

SNV WASH FINAL EVALUATION WORKSHOP@MWANZAKatika Picha,Ni Juventus Juvenary (Kushoto ) na mtangazaji wa Radio Kasibate ya Bukoba baada ya Worksop jijini Mwanza

Juventus Juvenary,Sr. Ifigenia Bahat &Marck Nicolaus Ngaiza

Juventus Juvenary,Sr. Ifigenia Bahat &Marck Nicolaus Ngaiza

Juventus akiwasilisha ripoti

katika uwasilishaji wa ripoti ya tathimini ya mwaka mzima


Mmoja wa waratibu wa Mradi wa WASH kutoka SNV Consolatha Temu

Marck Ngaiza(Kasibante akifuatilia ripoti kwa umakini)

Zamu ya radio Sengerema kuwasilisha RipotiMarck Ngaiza wakati wa Chai


Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu tumenza kufanya/kuendesha Vipindi vya Maji  kwa ufadhili KGMP kwa ufuatiliaji au usimamizi wa SNV kupitia Mpango wa WASH
Kupitia Radio Kwizera, mimi Juventus Juvenary kama mwanzaaji wa Program hiyo naweza kusema kuwa “Ni Vipindi vingi kupitia ratiba yetu ya matangazo hasa, Mada za asubuhi,Sauti ya Jamii,Taarifa za habari na Yaliyojili ambapo wananchi wamepata habari na kujifunza mengi kuhusu matumizi ya maji safi na salama. Lakini Pia wamehamasika au kujengewa uwezo kuhusu utunzaji wa Vyanzo Vya maji.
Katika picha hapo juu, ilikuwa ni katika Mkutano maalumu wa Tathimini juu ya mafanikio na changamoto tulizokutana nazo kwa kipindi cha mwaka mmoja

No comments:

Post a Comment