July 30, 2013

AMA KWELI! WIVU WA MAPENZI NI KITU KIBAYA...MWANAUME AKATWA ULIMI NA MKEWE-NGARA

Add caption
Bw.Anord Nyabenda akionesha Ulimi wake namna ulivyokatwa kwa meno na mkewe. Imeelezwa kuwa chanzo ni wivu wa kimapenzi kati yake na mkewe. Hadi sasa mwanamke hajafika Hospitalini alikolazwa kwa matibabu ili kujulia hali mwenzake.

No comments:

Post a Comment