July 4, 2016

Kagame ataka ushirikiano kibiashara na Tanzania

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, yuko ziarani Tanzania ambapo amefungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya Saba Saba Dar es Salaam. Ametaka pawe na ushirikiano thabiti wa kibiashara kati ya Tanzania na Rwanda.
www.ngarakwetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment