November 13, 2012

KAZI NI KAZI

Mwanamuziki akiwa Jukwaani akifanya vitu vyake kama sehemu ya kazi.
Asubuhi ya leo,nimepewa maneno matatu kutoka kwa mfanya kazi mwenzangu,Ndugu yangu,rafiki yangu Shaaban Nassib Ndyamukama.

1.Upendo kazini
2.Kuthaminiana,na kutamini kazi ya mwenzako
3.Ushirikiano
Haya yakizingatiwa,tutafika tunakotaka, na tutatimiza malengo.

No comments:

Post a Comment