February 24, 2013

TANGAZO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA

MKURUGENZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA-TAWI LA TABORA, ANAYO FURAHA YA KUWATANGAZIA WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2012 KWAMBA, CHUO KINATOA NAFASI MAALUM YA KUJIUNGA NA CHUO KWA WALE WOTE WENYE PASS KUANZIA “D” TATU NA KUENDELEA, KWA MWAKA WA MASOMO 2013 KATIKA MOJAWAPO YA KOZI ZIFUATAZO:-
1.      BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN RECORDS MANAGEMENT
2.      BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN SECRETARIAL STUDIES
3.      BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN INFORMATION TECHNOLOGY
4.      BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PROCUREMENT AND SUPPLIES
5.      BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN ACCOUNTS
6.      BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN LAW
7.      BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION
8.      TECHNICIAN CERTIFICATE IN PUBLIC ADMINISTRATION

WENYE SIFA TAJWA WAFIKE CHUONI HARAKA KABLA YA TAREHE 01/03/2013. AIDHA WAHITIMU WANAPASWA KUJA NA VYETI VYAO VYA KUZALIWA, LEAVING CERTIFICATES PAMOJA NA ADA ISIYOPUNGUA SHILINGI 430,000. MATOKEO YA KWENYE MTANDAO YATATUMIKA KUTHIBITISHA UFAULU WAO.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
SIMU ZA MKONONI:        0755 853 477 AU 0713 070 370
0719 980 077 AU 0715 266 664
SIMU YA MEZANI:            026 260 4537
CHUO NI CHA SERIKALI NA KIMESAJILIWA NA NACTE.
WOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment