March 20, 2013

LIGI DARAJA LA 3,MKOA WA KAGERA

BIHARAMULO YAINGIA FINAL SASA KUKUTANA NA MTUKULA
Hawa ndio waamuzi wa mchezo

Kikosi cha Biharamulo

Kashai FC na Biharamulo katika Mchezo

Ilikuwa ni patashika katika lango la Biharamulo hali iliyoleta wasiwasi kwa mashabikiMabadiliko kwa timu ya Biharamulo
 Katika Mchezo huo, Kipindi cha dakika 90 kilimalizika bila timu hizo kufungana hali iliyopelekea kuongezwa kwa dakika 30 ambazo pia hazikuzaa matunda baada ya timu hizo kutofanikiwa kufungana, ndipo kikaingia kipindi cha matuta(Penalti) iliyoipaisha timu ya Biharamulo kuingia Fainal kwa penati 5-4. Fainali ni tarehe 22/03/2013

No comments:

Post a Comment