July 26, 2012

Home kwetu Kuzuri

3 comments:

  1. Ardhi ya Ngara ina rutuba nzuri sana. Sijui niilinganishe na wapi tena hapa Tanzania. Ndiyo maana masuala ya msosi 'chakula' kwa ngara siyo issue. Kama inavyoonekana hapo sinia kubwa linatulizwa na wajeshi wawili tu pekeyao.

    ReplyDelete
  2. ooh waooh my home place nakumbuka sana kukaa kwenye mkeka nje no self service we enjoy food to gather father mother and children really i miss the place

    ReplyDelete
  3. Nimependa kakibuyu na tuvikombe, very good kudumisha mila. Mdau William

    ReplyDelete