July 25, 2012

Makamu wa rais wa Ghana aapishwa kuwa Rais baada ya Kifo cha ghafla cha Rais wa Taifa hilo

kufuatia kifo cha ghafla cha rais wa Ghana John Evans Atta Mills,mchana huu mjini  Accra, Makam wa rais wa Taifa hilo John Dramani Mahama ameapishwa kuwa Rais

No comments:

Post a Comment