May 20, 2016

PIKIPIKI HIZI HUKO KWENU ZIPO?

Serikari iueleze umma wa-Tanzania toka zimenunuliwa pikipiki 400 hizo kila moja 9.44 Mil zimeleta manufaa gani?. Pikipiki hiyo ni moja ya mamia ya pikipiki amabazo hazijawahi kutumika toka zimenunuliwa. Hiyo ni ya Kata ya Mususagamba- wilaya ya Ngara

Kutoka kwa mdau.

No comments:

Post a Comment