November 11, 2012

KARATE SIO JAPAN NA CHINA HATA SS TUMO!wE

Wenzetu, hata familia wanacheza

Kushoto:- Sensei Onesmo wa Kibondo Shotokan Karate,wakati Mbunge wa jimbo la Muhambwe Bw.Felix Mkosamali mwenye track suit alipotutembelea DOJO

Vijana wakifanya mazoezi ya viungo vya mwili,Kibondo DOJO

Nikiwa Kazini, sitaki utani

Siku nilipo valishwa Yellow belt baada ya Mtihani-Kibondo Shotokan Karate. mwenye Gi za kijani ni Sensei Mussa Mwela

baada ya mtihani

Sitaisahau siku hiyo. Asante sana sensei Mwela

Kazi ni Kazi, Nikiwa na Kamanda Titto Maherere, ni mlinzi wa Kampuni ya Suppreme. Hapa tunabadilishana mawazo tu!

Haka ndio ka PUNDA kangu,nashukuru Mungu. kananisadia sana ku move kutoka sehemu moja hadi nyingine. kaliwahi kupigwa gear kutoka kibondo hadi Ngara

No comments:

Post a Comment