December 3, 2012

SIKU YA WALEMAVU

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mlemavu aliyetambulika kwa jina la Mwendo Saidi,,mkazi wa Lindi Vijijini. Rais Kikwete ameahidi kumpatia Msaada wa Bajaji mlemavu huyo,,itakayomuwezesha kufanya shughuli zake

No comments:

Post a Comment