July 16, 2013

PICHA: WANAJESHI WA TANZANIA WALIO UAWA DARFUL WAAGWA

Capt. John Kivunge,kutoka  Tanzanian akiongoza hafla ya sala kwa marehemu.

Wanajeshi wakiwaombea Marehemu

Imam akiongoza sala

wanajeshi wakitoa heshima mbele ya miili ya marehemu

Safari ya kurejeshwa nyumbani.


No comments:

Post a Comment