| Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika Vitabu wilayani Biharamulo |
| Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuri akisaini katika kitabu wakati wa ziara ya Rais |
| Mh. Rais(Kushoto ) akifuatiwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Mstaafu Fabian Masawe,na baadhi ya mawaziri walioambatana naye katika ziara |
| Wananchi pamoja na wadau |
| Wananchi wa Biharamulo wakifuatilia hotuba ya Mh. Rais |
| Kikundi cha Ngoma kikitumbuiza. Waziri wa ujenzi John Pombe Magufuri akionesha ustadi wake katika kupiga Ngoma |
| Sehemu ya Barabara iliyozinduliwa na Rais. |
| Biharamulo Round about |
| Baadhi ya wataalam wa wilaya ya Biharamulo(kutoka kulia) mwenye koto la suti na kitamburisho ni Dk.Gresmus Ssebuyoya,Mganga mkuu wa Hospitali teule ya wilaya hiyo wakifuatilia Hotuba ya Mh. Rais |
No comments:
Post a Comment