October 16, 2013

Happy Birthday DC Costantine Kanyasu

Wananchi wa Ngara wamtakia siku njema ya kuzaliwa mkuuu wao wa wilaya Costantine Kanyasu

Nasi www.ngarakwetu.blogspot.com tunamtakia maisha mema, Mungu anendelee kumuongoza na kumjalia nguvu ili kuharakisha maendeleo ya wana Ngara

No comments:

Post a Comment