Katika maeneo mengi nimeelezwa kuwa miundombinu ya Barabara si rafiki hivyo hazijafanya kazi. Hata hivyo Mwanamke mjamzito kukaa kwenye Bajaj kwenda kujifungua ni mateso. wewe unasemaje? niandikie juveilla@gmail.com au juventusjuvenary@gmail.com
|
Kutokana na kutofanya kazi limetunzwa |
No comments:
Post a Comment